The United Republic of Tanzania
Ministry of Education Science and Technology
Vocational Education and Training Authority
Skilled Labour Force The Future of Tanzania
Posted on: Saturday, 20 April 2024
BARAZA KUU LA WAFANYAKAZI WA VETA LAZINDULIWA
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore amezindua rasmi Baraza Kuu la Wafanyakazi wa VETA, leo tarehe 20 Aprili, 2024.
Akizindua baraza na kikao chake cha kwanza katika Ukumbi wa mikutano...
Posted on: Friday, 19 April 2024
CPA Kasore: Kasimamieni utoaji mafunzo ya ufundi stadi kwa ubora kulingana na mahitaji ya soko la Ajira
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) CPA. Anthony Kasore, amewaagiza wasimamizi wa mafunzo ya ufundi stadi kwenye vyuo vya VETA kuimarisha utoaji mafunzo ya ufundi s...
Posted on: Monday, 15 April 2024
MKURUGENZI MKUU WA VETA ASISITIZA USHIRIKIANO BAINA YA WAFANYAKAZI KUIMARISHA UTOAJI MAFUNZO YA UFUNDI STADI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore, amewataka wafanyakazi wa VETA kuboresha ushirikiano katika utendaji kazi ili kuimarisha utoaji wa eli...
Posted on: Tuesday, 09 April 2024
Dirisha la usajili wa ubunifu kwa ajili ya Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) limefunguliwa rasmi leo, tarehe 9 Aprili 2024.
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kufunguliwa kwa dirisha hilo alipokuwa akizindua Maadhimisho ya Kitaifa...
Posted on: Tuesday, 09 April 2024
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inatarajia kuanza rasmi kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa ndani katika vyuo vyake nchini.
Utoaji mafunzo hayo unatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Aprili, 2024 baada ya kukamilika kwa mtaala wa mafunzo hayo ulioandaliwa na VETA kwa kushirikiana na shi...
Posted on: Friday, 05 April 2024
Katika hali ya kuonesha kujali jamii inayowazunguka, watumishi wa Chuo cha VETA Namtumbo wametoa msaada wa sare za shule kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum wa shule ya Msingi na Ufundi Namtumbo iliyopo wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma. Msaada huo wa sare za shule zikiwepo sketi, suruali, kaptula na mashati umetolewa...
Posted on: Wednesday, 03 April 2024
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt Franklin Rwezimula, amekitaka Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) kupanua wigo wake wa udahili na kuboresha utoaji wa mafunzo ili kiweze kuwa kituo mahsusi cha kutoa walimu mahiri na wa kutosha kwa ajili ya vyuo vya ufundi stadi vinavyoendele...
Posted on: Friday, 29 March 2024
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameiasa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kujiimarisha zaidi na kuongeza ubunifu katika utoaji wa mafunzo, kwani inategemewa sana katika kubeba maono ya Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuhusu elimu ujuzi....