Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) inawatangazia Wananchi kuwa Fomu za Kujiunga na Kozi za Muda Mrefu katika Vyuo vya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi vinavyomilikiwa na VETA kwa mwaka 2020 zitatolewa kuanzia tarehe 1 Agosti hadi 15 Septemba, 2019.
Watu wote wanaohitaji kujiunga na mafunzo hayo wanaombwa kufika katika vyuo vya VETA vilivyo karibu nao kwa ajili ya kuchukua na kujaza fomu.
Orodha ya fani zitakazotolewa katika vyuo vya VETA mwaka 2020 imefafanuliwa hapa chini:
VETA HEAD OFFICE,
12 VETA Road.
41104 Tambukareli,
P.O. BOX 802, Dodoma Tanzania,
Email: info@veta.go.tz
Telephone: +255 26 2963661
Fax: +255 22 2863408
Url: www.veta.go.tz
© 2018 - VETA Head Office